Habari za Punde

Daktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo Duniani Atembelea Wizara ya Afya Zanzibar

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabiti Kombo akimkaribisha Daktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo Duniani Dr. Ramakanta Panda, alipofika Zanzibar kwa mazungumzo na Waziri wa Afya Zanzibar kwa mazungumzo.
Daktari bingwa wa maradhi ya moyo Duniani Dr Ramakanta Panda akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati alipotembelea ofisi ya Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.(Picha na Abdalla Omari Habari Maelezo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.