Suala la uhifadhi wa mazingira ni jukumu la kila mmtu, pichani miti mbali mbali aina ya mikandaa ikiwa imekatwa katika moja ya maeneo yaliyokaribu na bahari huko Chumbageni Wambaa.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
NMB Yapewa Tuzo Maalum na WCF kwa Uzingatiaji Bora wa Uwasilishaji wa
Michango ya Wafanyakazi
-
Dar es Salaam
Benki ya NMB imeendelea kuthibitisha uongozi wake katika masuala ya
rasilimali watu baada ya kutunukiwa tuzo maalum na Mfuko wa Fidia kw...
37 minutes ago
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh ndugu zangu tusiseme tatizo supu, tutafute alternatives za watu kuweza kijiendeshea maisha yao. Bila kufanya hivyo kila kitu kitakywa tatizo. Mfano watu huambiwa wajiajiri, wanyonge kwa uwezo wao na ufahamu wao hutafuta njia mbali mbali za kijiendeshea na kupata riziki zao. Lkn mara ghafla utaona taasisi fulani inawavamia na kuwaharibia shughuli zao ima za kibiashara au nyengine. Badala ya kuwaita na kuwakusanya watu kama hawa, sisi huzidi kuwaharibia na kuwakatisha tamaa kabisa. TUWATAFUTIE MBADALA HAWA WATU JAMANI
ReplyDelete