Suala la uhifadhi wa mazingira ni jukumu la kila mmtu, pichani miti mbali mbali aina ya mikandaa ikiwa imekatwa katika moja ya maeneo yaliyokaribu na bahari huko Chumbageni Wambaa.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
MWENYEKITI WA BODI YA NSSF ARIDHISHWA NA UBORA WA HUDUMA KWA WANACHAMA
MAONESHO YA SABASABA
-
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Bi. Mwamini Malemi, amepongeza huduma zin...
56 minutes ago
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh ndugu zangu tusiseme tatizo supu, tutafute alternatives za watu kuweza kijiendeshea maisha yao. Bila kufanya hivyo kila kitu kitakywa tatizo. Mfano watu huambiwa wajiajiri, wanyonge kwa uwezo wao na ufahamu wao hutafuta njia mbali mbali za kijiendeshea na kupata riziki zao. Lkn mara ghafla utaona taasisi fulani inawavamia na kuwaharibia shughuli zao ima za kibiashara au nyengine. Badala ya kuwaita na kuwakusanya watu kama hawa, sisi huzidi kuwaharibia na kuwakatisha tamaa kabisa. TUWATAFUTIE MBADALA HAWA WATU JAMANI
ReplyDelete