Dkt.Biteko Azindua Teknolojia ya Kiondoa Uvimbe Mwilini Bila Upasuaji * Ni
kwa mara ya kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati * Aipa kongole
Hospitali ya Kairuki kwa kutoa punguzo la asilimia 50 kwa wagonjwa 50 wa
kwanza * Asema Serikali itaendelea kuweka msukumo ushirikiano na Sekta
binafsi * Awaasa Watendaji Wizara ya Afya kutoogopa kujifunza pale Sekta
binafsi inapofanya vizuri * Wagonjwa 300 wanufaika na teknolojia ya utoaji
uvimbe bila upasuaji
-
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameziindua
teknolojia ya kuondoa uvimbe...
3 minutes ago
No comments:
Post a Comment