Habari za Punde

Mawakili wa Serikali ya Zanzibar watoa elimu ya Sheria vijijini

 Wakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Juma Abdalla Ali akitoa Elimu kwa Wananchi wa Bwejuu  Wilaya ya Kusini  Unguja juu ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi  pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.
 Wakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Abubakar Ali Omar  akitoa Elimu kwa Wananchi wa Bwejuu  Wilaya ya Kusini  Unguja juu ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Bwejuu waliohudhuria katika hafla ya Mawakili juu ya utoaji wa elimu  ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.
 Wakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Salama Rama Amani katikati akitoa Elimu kwa Wananchi wa Bwejuu  Wilaya ya Kusini  Unguja juu ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.

 Mwananchi wa kiji cha Bwejuu Ali Dawa Simai akiuliza maswali katika hfla ya  Mawakili juu ya utoaji wa elimu  ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.

Mwananchi wa kiji cha Bwejuu Mrisho Ali Rongwe akiuliza maswali katika hfla ya  Mawakili juu ya utoaji wa elimu  ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar.

PICHA NA MIZA OTHMAN/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.