NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na mwalimu
mkuu wa skuli ya Maandalizi Junguni, Nusura Hamad iliyojengwa na Tasaf, wakati
alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020
katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya
vitabu wanavyosoma wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Junguni, iliyojengwa na
mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (Tasaf), wakati alipokuwa katika ziara
yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya
karatasi za kusomeshea wanafunzi katika skuli ya maandalizi Junguni Wilaya ya
Wete, iliyojengwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania (Tasaf), wakati
alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020
katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya
fanicha zilizowekwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania (Tasaf) katika
skuli ya Maandalizi ya Junguni, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia
utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk:Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na
watengenezaji wa Mazulia ya Usumba katika kikundi cha Jiendeleze kwa maisha
bora kilichopo Junguni Wilaya ya Micheweni, wakati alipokuwa katika ziara yake
ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU Katibu Mkuu CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na wananchi na wanachama wa kikundi cha Jiendeleze kwa maisha bora kinachojishuhulisha na utengenezaji wa mazulia ya Usumba, huko Wingwi Njuguni Wilaya ya Micheweni mkoa wa wa kaskazini Pemba, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKURUGENZI
wa Idara ya Uratibu shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,
Khalid Bakari Amran akitoa ufafanuzi juu ya mipango mbali mbali ya Tasaf kwa
mwaka 2018, kwa wananchi wa junguni Wilaya ya Micheweni wakati alipokuwa katika
ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya
Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
No comments:
Post a Comment