Habari za Punde

Naibu Waziri wa Maji Tanzania Mhe.Aweso Ataka Miradi ya Maji Ikamilike Kwa Wakati.

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikagua bomba la DAWASCO linalosambaza Maji ya Ruvu Juu iliyopo maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikagua Mradi wa visima 20 eneo la Kisarawe II katika mji wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso aendelea na ziara ya kukagua maendeleo ya Miradi ya Maji Mji wa Kigamboni Jijini Dar es salaam.

1 comment:

  1. Mh muandishi mbona unatuchanganya zaidi kuliko Kabudi, hakuna Naibu Waziri wa Maji wa Tanzania bwana. Huyo ni Naib Waziri wa Maji wa Tanganyika au Tanzania Bara

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.