Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Furaha Pemba Wakishiriki Katika Ujemnzi wa Taifa Kukamilisha Ujenzi wa Skuli ya Furaha Pemba.

 BAADHI ya magari ya abiria zenye rudi Chake-Uwanja wa ndege, zikiwa zimetulia katika skuli ya Msingi Furahaa, kufuatia siku maalumu kwa wananchi wote kushiriki katika zoezi la utiaji wa zege kwa skuli hiyo
 WANANCHI wa Furaha wakibeba kokoto kwa ajili ya umwagaji wa zege katika banda moja lenye vyumba vinne vya kusomea wanafunzi, ili wananfunzi waliohamishwa katika skuli ya Mabaoni waweze kurudi skulini kwao
 WANANCHI wa Fura Wilaya ya Chake Chake, wakiponda zege kwa lengo al kwenda kumwaga katika madarasa manne mpya yanayojengwa na Baraza la Mji Chake Chake, kwa ajili ya wanafunzi wa skuli wa skuli hiyo, ambao kwa sasa wanasoma mabaoni


 MAFUNDI Ujenzi katika shehia ya Furaha, wakimwaga zege na wengine kutandaza zege, katika moja ya mabanda ya skuli ya msingi Furaha Wilaya ya Chake Chake, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyoweka na baraza la mji chake chake la kujenga skuli hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.