Habari za Punde

Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama

Wananchi wakiwa Kisimani huko katika Kijiji cha Kele Mtambwe  Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakichota maji na kufua kufuatia kukosekana kwa huduma ya maji safi na Salama Kijijini hapo.

 Wananchi wakiwa Kisimani huko katika Kijiji cha Kele Mtambwe  Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakichota maji na kufua kufuatia kukosekana kwa huduma ya maji safi na Salama Kijijini hapo.

 Madumu ya kuchotea maji , yakiwa katika msogo wa kusubiria maji yatoke katika mfereji huo.
Kisima ambacho kimechimwa na Wananchi wa kijiji cha Kele Mtambwe Wete,ambacho kimekwama kutumika kwa ukosefu wa baadhi ya nyenzo kama vile Umeme .
Picha na Bakar Khamis-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.