Habari za Punde

Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya kukabiliana na maafa akagua eneo la ujenzi wa nyumba za kukabiliana na maafa Tumbe, Pemba

 MKURUGENZI Mtendaji wa Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar, Shaban Seif Mohamed (katikati) akitoa maelekezo kwa watu wa upimaji baada ya kukagua ramani ya eneo la ujenzi wa nyumba za kukabiliana na maafa Kisiwani Pemba, huko Chwaka Tumbe Wilaya ya Micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI Mtendaji wa Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar, Shaban Seif Mohamed (katikati) akiangalia ramani baada ya kuwasili katika eneo la ujenzi wa nyumba za kukabiliana na maafa Kisiwani Pemba, huko Chwaka Tumbe Wilaya ya Micheweni..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.