WATENDAJI mbali mbali wa Wizara ya Ardhi, Maji,
Nishati na Mazingira Pemba, wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Mhe:Salama
Aboud Talib, wakati alipokwua akisikiliza Changamoto zinazowakatibili wananchi,
katika kikao cha pamoja madiwani na Masheha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KAIMU mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Pemba (ZAWA),
Juma Ali Omara akitoa ufafanuzi wa Changamoto za wananchi zilizoelekezwa kwa
ZAWA, katika kikao cha pamoja madiwani na Masheha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MENEJA wa Shirika la Umeme Pemba, Mohamed Juma
Othman akitoa ufafanuzi wa Changamoto za wananchi zilizoelekezwa katika taasisi
yake kutoka kwa wananchi, katika kikao cha pamoja madiwani na Masheha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na
Mazingira Zanzibar, Mhe:Salama Aboud Talib, akizungumza na madiwani na
masheha wa Wilaya ya Chake Chake, wakati kikao maalumu cha kuangalia changamoto
zinazowakabili wakanchi, katika kikao cha pamoja madiwani na Masheha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MASHEHA na Madiwani wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa
Kusini Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuba ya Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati
na Mazingira Zanzibar,Mhe:Salama Aboud Talib alipokuwa akizungumza na masheha
na madiwani hao katika kikao cha pamoja kilichofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment