MENEJA
wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF tawi la Pemba Rashid Mohamed
Abdalla, akimkabidhi Msaidizi mwalimu mkuu wa Skuli ya Sekondari Kiwani Muhodhari
Hassan Ali, hundi ya Shilingi Milioni 10,000,000 kwa lengo la kusaidia Sekta ya
Elimu Zanzibar, Picha NA HANIFA SALIM,
PEMBA.
TFS Yawakaribisha Wawekezaji Katika Vivutio vya Utalii wa Misitu, Yaweka
Bayana Fursa Mpya za Kipekee
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeeleza mikakati na fursa
mbalimbali za uwekezaji na utalii wa misitu, huku ukizi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment