Habari za Punde

Maelfu Mkoa wa Kusini Unguja Wahudhuria Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Viwanja vya Makunduchi Zanzibar.

Kikundi cha Sanaa na Michezo ya Kuigiza cha Zanzibar Roots cha Msanii Makombora wakitowa burudani ya kuingiza mchezo wa unyanyasaji wa Wanawake wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanamke Duniani zilizofanyika katika Viwanja vya Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

Vijana wa sanaa wa Muziki wa Zamani cha Makunduchi wakitowa burudani wakati wa hafla hiyo ya maadhimishi ya Siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Makunduchi leo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.