Habari za Punde

Makamu wa Rais ziarani Pemba azuru kaburi la Marehemu Dk Omar Ali JUma
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili, Mohamed Aboud Mohamed watatu kutoka kulia, wapili Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman na wakanza ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, wakimsubiri kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sluhu Hassan.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshauri wa Rais wa Zanzibar Pemba Dkt. Maua Daftari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 ASKARI wa JWTZ Kisiwani Pemba wakiwa katika mstari mmoja, kwa lengo la kutoa heshima zao kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Sluhu Hassan mara wakati atakapowasili katika kaburi la Marehemu Dr Omar Ali Juma lililopo Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Sluhu Hassan, akisalimiana na mmoja wa askari wa JWTZ baada ya baada ya kuwasili katika kaburi la Dr Omar Ali Juma, kwa lengo la kuweka shada la maua katika ziara ya siku tatu kisiwani humo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Samia Sluhu Hassan, akipokea shada la mauwa kutoka kwa mmoja wa askari wa JWTZ Kisiwani Pemba, kwa ajili ya kuweka katika kaburi la Marehemu Dr Omar Ali Juma aliyefariki dunia Julai 4/2001 na kuzikwa Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Samia Sulhu Hassan, akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Dr Omar Ali Juma lililopo Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake, baada ya kuwasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku tatu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Samia Sluhu Hassan, akitoa heshima katika kaburi la Marehemu Dr Omar Ali Juma, aliyefariki dunia Julai 4/2001 na kuzikwa kijijini kwao Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake, mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku tatu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sluhu Hassan, akiweka saini katika moja ya vitabu baada ya kuwasili katika kaburi la marehemu Dr Omar Ali Juma, lililopo Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


 VIONGOZI mbali mbali wa SMT na SMZ, wakanza kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Shaaban Seif Mohamed, katikati Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Injinia Hamad Yussuf Masauni, watatu ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sluhu Hassan, akisikiliza kwa makini dua mbali mbali zilizotolewa kwa ajili ya kumuombe Marehemu Dr Omar Ali Juma, baada ya kuwasili katika kaburi lake Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.