Habari za Punde

Maonesho ya Siku ya Maadhimisho ya Wanawake Duniani Katika Viwanja Vya Makuunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.

Viongozi wa Serikali wakisubiri kumpokea Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kuwasili katika viwanja vya Makunduchi kuhudhuria Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Wanawake Duniani yaliofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar wa kwanza Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Maudline Castico Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika viwanja vya Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa imefanyika Mkoa wa Kusini Unguja leo.8-3-2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.