Habari za Punde

Mdahalo Wakuwania Uongozi wa Urais Jumuiya ya Watanzania DMV (Part One)

Mdahalo wa sehemu ya kwanza wa kugombania kinyang'anyiro cha uongozi wa Waweka Hazina kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.