Habari za Punde

Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja

 Sehemu ya Matrekta yaliyonunuliwa na Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Klimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi. Serikali imenunua jumala ya matrekta 20 ili kuweza kumsaidia mkulima kuondokana na ukulima wa zanani ambao hauna tija. matrekta hayo aina ya new holland na mahindra yamegharimu jumla ya shilingi bilioni moja, milioni mia nne sabini na sita,laki tatu sitini  tano elfu mia mbili na hamsini.
 Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifigo na Uvuvi Mh. Rashid Ali Juma  akisalimiana mwakilishi wa kampuni ya Mahindra baada ya kukabidhiwa Matrekta 20
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifigo na Uvuvi Mh. Rashid Ali Juma akijaribu moja ya matrekta yaliyokabidhiwa kwa Serikali hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.