Habari za Punde

Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar

 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar kushoto akitiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden, Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akibadilishana hati ya saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
 Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.