Uongozi wa Timu ya Baraza la Wawakillishi Sports Club yawapokea Wageni wao kutoka Arusha Wazee Sports Club kwa ajili ya michezo ya kirafiki kuadhimisha Tamasha la Michezo ya Pasaka, inayotarajiwa kufanyika kesho katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa michezo mbalimbal;i ya Mpira wa Pete Mpira wa Miguu na Resi za magunia na kufukuza kuku.. Imewasili Zanzibar kwa boti ya Kilimanjaro leo asubuhi.
WAAZIMIA KUWABURUZA MAHAKAMANI WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA UMEME TANDAHIMBA
-
-Wananchi watahadharishwa kuepuka vishoka
WENYEVITI wa Serikali za vijiji na vitongoji Wilaya ya Tandahimba Mkoa wa
Mtwara wamesema hawatakuwa na huruma kw...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment