Habari za Punde

Matukio ya Picha ya Ajali Migombani Mnara wa Mbao.
Mwananchi akimsaidia dereva wa gari ndogo iliyopata ajali katika barabara ya migombani mnara wa mbao, akiwa amejeruhia mguu katika ajali hiyo.
Wananchi wakiangali gari ndogo iliopata ajali kwa kugongwa na basi la abiria katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.