Habari za Punde

DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili  Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa, itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili  Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum  Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo  kutembelea Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Eneo la ufukwe wa Mpigaduri,Maruhubi  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Salama Aboud Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Ujumbe wa Baraza la Mapinduzi walifika kuangalia Alama Maalum za mipaka ya ujenzi  wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati walipofika Eneo la fukwe ya Bwawani  wakati wa ziara maalum  kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,[Picha na Ikulu]. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.