Amour Khamis Makame mmoja wa wakulima wabonde la
mpanja Shehia ya Gando Wilaya ya Wete, akiwaonyesha baadhi ya waandishi wa
Habari, eneo ambalo maji chumvi yanaingia katika mashamba yao ya Mpunga na
hatimae miaka 15 sasa wamekosa kulima.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wakulima wa mpunga katika bonde la Mpanja Gando,
wakipita juu ya Tuta ambalo wamelitengeneza kwa nguvu zao kwa lengo la kuzuwia
maji chumvi, huku likiwa na urefu wa mita 150, lakini bado juhudi zao zimeshindikana.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BONDE la Mpanja shehia ya Gando, ambalo wakulima wa
mpunga wasio pungua 200, sasa wamekosa shughuli zao za kilimo baada ya maji
chumvi kuingia katika mashamba yao ya mpunga, hali iliyowafanya wakulima hao
kukosa kulima kwa zaidi ya miaka 15 sasa.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment