Habari za Punde

Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi

 Mkuu wa Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Yussuf Haji Makame akitoa elimu kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) namna saratani hiyo inavyoathiri katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar.
 Waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar.
 Mwandishi wa TIFU TV akiuliza masuala katika Mafunzo hayo.
Mfanyakazi kutoka Wizara ya Afya Zanzibar Abdulrahman Muhamed Saleh akijibu masuala ya waandishi wa habari (Picha na Abdalla Omar Habari – Maelezo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.