Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia)
akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate
of appreciation” Meneja Mkuu wa Dar es Salaam Yacht Club (DYC) Bw. Brian
Fernandes (kushoto) kwenye hafla fupi
iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es
Salaam mapema
Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia)
akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate
of appreciation” nahodha wa Tanzania Sea Rescue (TSR) Bw. Ally Saleh Kitobe
aliyeiwakilisha kampuni yake kwenye
hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki
Jijini Dar es Salaam
Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (wa tatu
kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni zilizopewa
vyeti vya shukrani “Certificate of
appreciation” kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Brian Fernandes (wa tatu
kushoto) kutoka Dar es salaam Yacht Club (DYC), Ally Saleh Kitobe (wa pili
kushoto) kutoka Tanzania Sea Rescue na Issa Lwamba (wa pili kulia) kutoka Dar
es Salaam Independent School (DIS). Makabidhiano yaliyofanyika mapema leo hii
katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment