Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Sherehe za Miaka 54 ya Muungono Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenesta Joakim Muhagama wakatri alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kuhudhuria Sherehe za Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mama Anna Mkapa mara baada ya kumalizika kwa  sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika juzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini  Dodoma (katikati) Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo mara  baada ya kumalizika kwa  sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika juzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini  Dodoma. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshma ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja  wa Jamhuri Dodoma katika kilelel cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la  heshma la Vikosi vya Ulinzi   na Usalama katika Uwanja wa  Jamhuri Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar shere zilizofanyika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Kilele cha Sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar shere zilizofanyika leo katika Uwanja wa  Jamhuri Dodoma ambapo Viongozi na Wageni Mbali mbali walihudhuria.
[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.