Habari za Punde

Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Mjini Magharibi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba umeme wa majumbani na viwandani unavyofanya kazi kutoka kwa mkufunzi wa umeme wa Chuo cha Mwenge Community College Mwalimu Mohamed Mbarawa wakati wa ziara ya Makamu wa Rais chuoni hapo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakao nufaisha wakazi wa elfu saba mia tano (7500) katika Shehia 4 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji safi Kikawajuni kwa Mselem katika jimbo la Kikwajuni, wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Ndugu Ayoub Mohammed Mahmoud . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.