BANDARI ya Mkoani Kisiwani Pemba imekuwa ni moja ya bandari kubwa kwa sasa, kwa shuhuli mbali mbali za ushushaji mizigo kutoka Unguja na Mombasa, pichani Meli ya Mv Hassanat ikiteremsha mizigo ya wafanya biashara mbali mbali wa Pemba
MCHUKUZI katika bandari ya Wesha Kisiwani Pemba, akiwa amebeba gunia la mbatata katoka moja ya mashaua iliyofunga nanga katika bandari hiyo kutoka mkoani Tanga na kupakia katika gari, bandari ya Wesha imekua ni moja ya bandari muhimu kwa wafanya biashara wa mji wa chake chake kuteremsha bidhaa zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment