Habari za Punde

Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na  Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali Bw.Jean Boustany alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao

 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na   Bw.Jean Boustany, Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiagana na   Bw.Jean Boustany  Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT)kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali, mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,(kulia) Balozi Mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadini, [Picha na Ikulu.] 28 April 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.