Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo katikati akifafanua baadhi ya maswala mbalimbali ya Mwenendo na Migogoro ndani ya chama hicho kwa Waandishi wa Habari Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.kulia yake ni Kiongozi wa Ulinzi wa CUF Thney Juma na Kushoto ni Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na mwenendo na migogoro ndani ya Chama hicho Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame akitoa maelezo kuhusiana na Mkutano na kumkaribisha Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo kuzungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment