Sehemu ilipofanyika sherehe za uzinguzi wa ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipata maelezo ya jinsi kazi ya kujenga ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiuelekeza msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine alipokagua sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Askari wa JKT walipkuwa kazini kujenga ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na hati ya kukabidhiwa ukuta aliyopokea toka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsaidia mgunduzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma kuketi kitini wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kukabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wenginme wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukurani zake kwa kutambuliwa na serikali na kupewa shilingi milioni 1000 na Rais kama ahsante yake wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wenginme wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukurani zake kwa kutambuliwa na serikali na kupewa shilingi milioni 1000 na Rais kama ahsante yake wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018. Kushoto ni Hassan na Asha Ngoma, watoto wa mzee huyo
No comments:
Post a Comment