Habari za Punde

Ujenzi wa Majengo pacha ya taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ukiendelea Gombani Pemba
Majengo pacha ya taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , ambayo yamejengwa huko Gombani Pemba , kwa ajili ya Ofisi za Wizara tatu ikiwemo , Wizara ya Fedha, Katiba na Sheria , na Wizara ya Uwezeshaji, Pemba, ambayo yalitembelewa na Mawziri wasiokuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Said Soud  Said na Juma Ali Khatib , wakati walipokuwa na ziara ya kutembelea maendeleo yalioletwa  na Utawala wa Dkt ,Ali Mohammed Shein.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.