AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Pemba, Salim Kitwana Sururu, akiwaonyesha waandishi wa habari Pemba, baadhi ya
Vibali vilivyotumika kuajiri walimu 255 na sio walimu 8 kama walivyosema
wanasiasa Kisiwani Pemba Hivi karibuni.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya ELimu na Mafunzo ya Amali
Pemba, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari,
juu ya taarifa zilizotolewa na wanasiasa kisiwani Pemba hivi karibuni, kuwa WEMA
imeajiri walimu nane (8) katika kipindi na kuwapeleka chokocho, badala yake
imeajiri walimu 255 katika kipindi cha miezi mitatu Januari hadi Machi mwaka
2018.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment