Habari za Punde

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA CRCC NA CCECC KUTIKA CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao (kulia)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction  Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake (katikati) Mkalimani Bw.Julius Liu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction  Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (katikati)pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara yao hapa Nchini,[Picha na Ikulu.] 16/05/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.