Mchezaji wa Timu ya JKU akiwa na mpira akiwapita wachezaji wa Timu ya Charawe wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU imeshinda bao 5-0.
Waandishi wanaogombea ubunge, udiwani wapigwa pini, watakiwa kujiondoa
vyumba vya habari
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais Oktoba mwaka huu 2025,
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limetoa mwongozo kwa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment