NAIBU
Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mihayo
Juma akiwasikiliza Maofisa wa Kikosi cha Uokoaji na Zima Mato Zanzibar wakitowa
maelezo ya uokozi wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Redi Cross Duniani ilioadhimishwa
katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni
NAIBU
Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mihayo
Juma akitembelea mabanda ya maonesho ya kuadhimisha Siku ya Red Cross Duniani
ilioadhimishwa Kitaifa katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
NAIBU
Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mihayo
Juma akimsikiliza Afisa wa Red Cross Mwalimu Lance Isreal akitowa maelezo jinsi
ya kutowa huduma ya kwanza kwa Wananchi wanaopata ajali
VIJANA
wa Red Cross wakionesha jinsi ya kutowa huduma ya kwanza wanapotowa huduma kwa
wananchi waliopata ajali wakionesha onesho hilo wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Red Cross Duniani iliodhimishwa kitaifa Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa
baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar
No comments:
Post a Comment