Habari za Punde

Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Wafanyakazi  mbali mbali wa Serikali na Sekta Binafsi  wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba

Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM  wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.