WAFANYABISHARA wa Mboga mboga na Matunda, wakiwa
nadani ya soko lao jipya la Tibirinzi wakisubiri kupatiwa vibaraza vya kufanyia
biashara zao, kutoka kwa uongozi wa baraza la Mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MABANDA ambayo wafanyabiashara wa mboga mboga na
matunda zamani walikuwa wakiyatumia kufanyia biashara zao, kabla ya kupatiwa
vibaraza vya biashara ndani ya Soko jipya la Tibirinzi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Nassor
Suleiman Zaharan, akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Matunda na mboga
mboga la Tibirinzi, kabla ya kuwakabidhi vibaraza vya kufanyia biashara katika
soko hilo jipya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
BAADHI ya wafanyabiashara wa matunda na mboga mboga
katika soko jipya la Tibirinzi, wakikagua vibaraza vyao walivyopewa na uongozi
wa baraza la mji chake chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MFANYABISHARA wa mbogamboga na Nafaka katika soko
jipya la Tibirinzi Kassim Kishuka, akizungumza na mwandishi wa habari wa ZBC TV
Raya Ahmada, mara baada ya kukabidhiwa kibaraza chake cha kufanyia bishara zake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment