MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib,
akiwashajihisha wanawake wezake kuekeza katika vikundi vya ushirika, ili mradi
wa TASAF utakapomalizia kuwa na hakiba zao, wakati wa ziara ya wajumbe wa
kamati ya Uongozi Tasaf Pemba, kutembelea shughuli za mpango wa kunusuru kaya
masikini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
NAIBU waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala
za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Shamata Shaame Khamis
akimkabidhi fedha shilingi laki moja na Mia Tisa mmoja ya walengwa wa mpango
wa kunusuru kaya masikini shehia ya Mtangani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla,
kikagua zao la Sun Flowers ambalo limepandwa katika shamba darasa la kaya
masikini shehia ya Mjini Ole, wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Uongozi
Tasaf Pemba, kutembelea shughuli za mpango wa kunusuru kaya masikini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment