Habari za Punde

Mhe. Balozi Amina Salum Ali Azindua Vibenchi Vya Kusomea Chuo cha IPA Tunguu Zanzibar.

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi IPA Tunguu wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Vikalio kwa ajili ya kusomea Wanafunzi wa Chuo hicho vilivyojengwa kupitia Ufadhili wa Kampuni ya PennyRoyal Zanzibar Limited kupitia Mradi wake wa Blue Amber.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Tunguu Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.