Habari za Punde

Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mwanaasha akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wakati Wajumbe wa Baraza wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Waheshimiwa Mawaziri wakifuatilia Michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakichangia Hutuba ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Shauri Moyo Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma akichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliowasilishwa jana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa wajumbe wa Baraza. 


Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Mohammed Said Dimwa akichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliowasilishwa jana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa wajumbe wa Baraza. Akinukuu vifungu vya Ilani ya CCM wakati akichangia bajeti.,No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.