Habari za Punde

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana mara baada ya kustaafu rasmi nafasi yake kwa  kukitumikia kwa muda mrefu Chama cha CCM,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana (katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Makamo wenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula wakiwakaribisha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe.Mizengo Kayanza Petter Pinda na Makongoro Nyerere (hawapo pichani) walipoteuliwa kuwa wajumbe  katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCMTaifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe.Mizengo Kayanza Pinda(kulia) na Makongoro Nyerere wateuliwa kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pia kuchaguliwa kuwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam 
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana akitoa shukurani zake kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu wa CCM Taifa (NEC) mara baada ya kustaafu rasmi nafasi yake kwa  kukitumikia kwa muda mrefu katika Chama cha CCM uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana ,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana (kulia) wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana ,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mzee Abdulrahman Omar Kinana ahukurani zake kwa wajumbe hao wakati wa Mkutano Mkuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam nchi ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wa Bara na Visiwani katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya Wajumbe katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa walipokuwa wakipiga kura ya kuwachangua wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa katika mkutano uliofanyika  leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.