Habari za Punde

Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba


Mkurugenzi wa taasisi ya Samael Academy, Sheikh Nassor bin Said -Alruweikhy , akizungumza na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Miza Hassan Bakar, kuhusiana na maandalizi ya kutoa msaada ya chakula cha futari kwa Wananchi wa Wilaya hiyo.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

Baadhi ya Masheha wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakichukuwa Sadaka ya Chakula kwa ajili ya futari ya wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kilichotolewa na taasisi ya Samael Academy -Pemba.

PICHA KWA HISANI YA SAMAEL ACADEMY- PEMBA.Mkuu wa Wilya ya Chake Chake Pemba, Alhajj Rashid Hadidi Rashid, akipokea msaada wa Sadaka ya futari kutoka kwa watendaji wa Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba, kwa ajili ya Wananchi wanoishi katika
mazingira magumu hasa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

PICHA NA SAMAEL ACADEMY PEMBA


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.