Habari za Punde

Kikundi Cha Ushirika Cha Bora Uhai Cha Mkumbuu Wavuna Samaki Katika Bwawa Leo Wilaya Chakechake Pemba.

MHASIBU wa Baraza la Mji Chake Chake aliyejulikana kwa jina la Khamis Suleiman Khamis, akitoka kuvua samaki katika boja ya mabwawa ya ufugaji wa samaki yakikundi cha Bora Uhai kilichoko Rasi Mkumbuu Wilaya ya Chake Chake
WANACHAMA wa Kikundi cha Bora Uhai kilichoko Rasi Mkumbuu Wilaya ya Chake Chake, wakiwa wametanda nyavu ndani ya moja ya mabwawa yao kwa lengo la kuvua samaki, ambapo tayari muda wake wa kuvuliwa umefika
WANAKIKUNDI cha Bora uhai kilichopo Rasi Mkumbuu Wilaya ya Chake Chake, wakiwatoa samaki katika nyavu baada ya kuwavua kutoka katika bwawa lao la kufugia samaki huko Mkumbuu, ambapo samaki mmoja mkubwa kwa jumlla ameuzwa shilingi 3000
WANACHAMA wa Kikundi cha Bora Uhai kilichoko Rasi Mkumbuu Wilaya ya Chake Chake, wakiwa wametanda nyavu ndani ya moja ya mabwawa yao kwa lengo la kuvua samaki, ambapo tayari muda wake wa kuvuliwa umefikaMMOJA wa wanachama wa Kikundi cha Bora uhai kilichopo Rasi Mkumbuu, kinachojishuhulisha na ufugaji wa Samaki, akipiga mnada mmoja wa samaki waliovuliwa ambapo samaki mkubwa aliuzwa shilingi 3000/=
.(Picha na Abdi Suleiman -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.