Habari za Punde

Wananchi na Watoto Kisiwani Pembe Wakisherehekea Sikukuu ya Eid Ei Fitry Katika Viwanja Vya Tibirinzi ChakeChake Pemba.

Watoto Kisiwani Pembe wakiwa katika viwanja vya Sikukuu vya Tibirinzi wakiwa katika pembea ya ndege katika uwanja huo uliopio katika eneo la Chakechake Pemba, kwa michezo mbalimbali iliomu katika viwanja hivyo vinavyomilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).Wakati wa Sherehe za kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kumalizika na kuungana na Waumini wa Dini ya Kiislam Duniani kuadhimisha Siku hiyo. 
WAZAZI na Walezi wakiwa katika folieni ya kwendaq katika moja ya Pembea za Ndege kama walivyokutwa na Kamera ya Zanzibarleo, ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi, wakati wa skukuu ya Eid el FitriWAZAZI wakifurahi na watoto wao, katika moja ya Pembea za ndege zinazopatikana katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirini, wakati wa skukuu ya Eid el Fitri

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.