Habari za Punde

DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Sheikh Mohamed Suleiman pamoja na Mtoto wake  baada ya Futari aliyoiandaa juzi kwa  ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd, Salum Maulid Salum wakati walipokuwa wakibadilishana mawazo na Viongozi (pichani) baada ya Futari aliyoiandaa kwa  ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba juzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiagana na  Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo wakirejea Unguja baada ya Rais kuwafutarisha Wananchi wa Mikoa ya Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakisalimiana na  Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Pemba leo baada ya Rais kuwafutarisha Wananchi wa Mikoa ya Pemba,
[Picha na Ikulu.] 8/06/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.