Habari za Punde

Fumba Kuchere Weekend

Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Fumba wakiwa katika mapumziko na kupunga upepo katika mandhari hiyo nzuri na kivutio kwa Wananchi Wengi wa Zanzibar kutembelea eneo hilo siku za jumamosi na jumapili.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.