Habari za Punde

Jumuiya ya ZAYEDESA Yadhimisha Siku ya Mazingira Duniani Kwa Kufanyika Usafiri Ufukwe wa Bahari ya Kizingo Zanzibar

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg.Shaban Seif Mohammed  Ashiriki  katika uzinduzi  wa Siku  ya Mazingira  Duniani akijumuika na Wananchi  na Wafanyabiasha  wa Jumuiya ya ZAYEDESA kufanyika  usafiri  wa  Mazingira  katika ufukwe  wa bahari ya  kizingo Zanzibar 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.