Habari za Punde

Maadhimisho ya Kupinga Vita Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani Yaadhimishwa Katika Viwanja Vya Mapinduzi Squera Michezani Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Vijana Walioacha Matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika Viwanja vya Mapinduzi Squera Michezani Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.