Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Yaadhimishwa Leo Zanzibar Katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Viongozi wa Meza Kuu wakifuatilia Mijadala ya Watoto Wakiwasili wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani. Linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.