Habari za Punde

Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar
Wizari wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  Mhe. Salama Aboud Talib akisoma muhtasari wa taarifa yake katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Mrajis wa Ardhi katika  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Dk.Abdul-Nasser Hikmany alipokuwa akitoa maelezo yanayohusu masuala ya viwanja vinavyotolewa kwa Wananchi katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake akiwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ahmeid Rashid akitowa maelezo  katika  mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake akiwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  Mhe. Juma  Makungu Juma
Mhandisi Mji Mkongwe Nd,Mussa Awesu (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo yanayohusu idara yake hasa Mradi wa Green Corridor unaoanzia Mkunazini hadi Posta Kijangwani wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar Nd,hassan Ali Mbarouk alipokuwa akitoa ufafanuzi wa kuhusu masuala ya Umeme  wakati wa  mkutano wa siku moja wa  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Mkurugenzi Mkuu wa Zura Bw.Haji Kali Hajii  akitoa ufafanuzi kuhusu namna Uagiziaji wa Mafuta yanayofika Nchini na hatimae kuuzwa kwa Wananchi wakati wa Kikao cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.